YUDA - Nandy
Kimambo on the beat
Nimemnyosha wangu yuda
vyake vitamu najipakulia
Kungwi nimefundwa, wake ma ex ndo wanaumia
Walisema limevunda sasa jikoni ndo linanukia
Ye ndo wangu kiti tena hachoki nikimkalia
Tena sikuihizi nanenepa nanawili
Yamenoga mapenzi na yameshamili
Kanipa vinono na vikubwa vitamu sio shubiri
Nyumban kumenoga unipoza mwili
Ananileta chumbani unikoleza wangu honey
Tunacheza kibaba mama.. kibaba mama
Wakienda vitani sisi tuko nyumbani
Aniteach inama inama.. inama inama
Ziwaume roho zao(kumtuliza)
Na ziwaume roho zao (najua kutunza)
Na ziwaume roho zao(kashindikana)
Na ziwaume roho zao
Kanipa sikio ananisikiliza
Malumbano ndani hana
Nimepitisha fagio na hawezi kuniliza
Mashindano ndani hana
Nimefundishwa na mama kumlea bwana
Akitaka nyama nampanaga na tena
Ananileta chumbani
Unikoleza wangu honey
Tunacheza kibaba mama.. kibaba mama
Wakienda vitani sisi tuko nyumbani
Aniteach inama inama.. inama inama
Na ziwaume roho zao(kumtuliza)
Na ziwaume roho zao (najua kumtuza)
Na ziwaune roho zao
Na ziwaume roho zao
No comments:
Post a Comment