Nimekuzoea Nandy
Kimamba on the beat......
aiyayayaaa.....aiyayayaaa.....aiyayayaaaa
Niko tuli beibe, kama maji kwa mtungi
Naunga puli beibe, nivute niishi nibaki kishungi,
ai..
Zuri beibe, nibandike nigande ka gundi
Maakuli beibe, nilishe nishibe kitumbo ndindi
ai...
Unanikoleza
Unanichombeza
Unanilegeza ai wee
Ukianzaga ndani, unayaweza kiundani
Kwenye meza sunami jeneza ni wee
Nakupenda,nakuwaza forever your my boo
Unipendeeee, nikupendee ooh
Nimekuzoea
Nimekuzoea
Nime nime nime nimekuzoea
Nimekuzoea
Nimekuzoea
Nime nime nime nimekuzoea
aiyayayayaaaa...........aiyayayayaaa .........uuuu ......uuuu
Kazoea vyote kazoea mpaka kazoea
Kabobea kote kabobea mpaka kabobea tena
Nalowea kote nalowea mpaka nalowea
Nakolea yote nakolea tamu kukolea tena
Nipo katikati nazungukwa na upendo
Sa natokea wapi, kaziba kote hajaacha pengo
Wanafikaga wapi, peku bila sendo
Nifike saa ngapi vyote tembea kwao kwa mwendo
Nakupenda
Nakuwaza forever your my boo
Unipendee nikupendee
Nimekuzoea
Nimekuzoea
Nime nime nime nimekuzoea
Nimekuzoea
Nimekuzoea
Nime nime nime nimekuzoea
No comments:
Post a Comment