akili imesita imegoma
mwisho wa reli kigoma
ooh ooh
oh baby (nibakishie)
usinipe vyote mie (nibakishie)
utaniua (nibakishie)
we ndio roho yangu (nibakishie) ×2
ooh baby
nishaharibu cocky ya mapenzi acha niloe
pacha wangu ni ww tunamatch sare sare
nitazurula kulilinda penzi
kwa ndumba na chale
tetere lipe mchele mzoga wake mwewe
ooh, basi nikabidhi
ooh, moyo sitopunja wala kupima aiyayaya
ai inanishaka ganzi na kichomi kuchoma
mwili mzima wa tetema ooh baby
baby, umetekenya Ngoma
we mama ni noma (noma)
mwisho wa reli kigoma kigoma kigoma
ooh ooh
oh baby (nibakishie)
usinipe vyote mie (nibakishie)
utaniua (nibakishie)
we ndio roho yangu (nibakishie) ×2
ooh baby eeeh
No comments:
Post a Comment