Thursday, December 6, 2018

Kila Ndoto Lyrics by SaRaha ft Marlaw

Verse 1 - SaRaha
Mara kwanza nilipokuona
nimeshindwa kuongea
unafanya nini na mimi baby (baby)
Natafuta maneno
kuelezea kukujulisha
umeshika moyo wangu wewe (wewe)
Nakupigia bila sababu
kusikiliza sauti yako
mbona siwezi kukwambia
kwamba nilikutamani
ila nikawa na aibu
kumbe na mwenzangu ni vile vile
Chorus
Kila wimbo nakuimba wewe
Kila ndoto nakuonta wewe
kila siku nakuwaza wewe
wewe
Verse 2 - Marlaw
Kwa muda mrefu sasa
nimeshindwa kukwambia
moyo umekuchagua wewe (wewe)
Nikitaka kuongea
maneno yanapotea
natamani uanze mwenyewe (mwenyewe)
oh everytime I see you
I wanna tell you how I feel
but you make me shy
Nilikutamani
ila nikawa na aibu
kumbe na mwenzangu ndo vile vile
Chorus
Kila wimbo nakuimba wewe
Kila ndoto nakuonta wewe
kila siku nakuwaza wewe
wewe
Kila wimbo nakuimba wewe
Kila ndoto nakuonta wewe
kila siku nakuwaza wewe
wewe

No comments:

Post a Comment