Wednesday, November 29, 2017

Jux utaniua lyrics

Iyei
Iyeiye
Iyei
Imekua asubuhi uwanja wa mapenzi moyoni umechafuka
Nami sitakikufagia upendo uende
Nina jua yangu roho ni ndogo ni ndogo hasa ikipenda-e
Ndio maana ukiwa tofauti baby unaniumiza ndani ndani (iyee)
Bado najiuliza ni kipi sijatimiza
Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza
Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby
Bado najiuliza ni kipi sijatimiza (haa)
Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza (haa)
Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby (haa)
Hey
Utaniua ua (haaha)
Hey (haaha)
My baby utaniua ua (haaha)
Hey (haaaha)
Ooh utaniua ua (haaha)
Hey (haaha)
Ooh babe utaniua ua (haaha)
Hey (haaha)
(Utaniua ua)
Nilijichangachanga ilimradi upendeze (ha)
Nikajibanabana minisijikweze (ha)
Sikutaka kugombana nikupoteze baby
Ilimradi niwe na wewe
Kibaya zaidi (naumia na upendo wako my love)
Ulisema mpaka kifo mama (ha) tungelizikwa wote
(Tungelifa wote)
Ila unanikatisha tamaa (ha) mimi sitaki uende
Bado najiuliza ni kipi sijatimiza
Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza
Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby
Bado najiuliza ni kipi sijatimiza (haa)
Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza (haa)
Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby (haa)
Hey
Utaniua ua (haaha)
Hey (haaha)
My baby utaniua ua (haaha)
Hey (haaaha)
Ooh utaniua ua (haaha)
Hey (haaha)
Ooh babe utaniua ua (haaha)
Hey (haaha)
(Utaniua ua)
We mama wee unaniua ua (we mama wee)
Unaniua ua
We mama wee unaniua ua (we mama wee)
Unaniua ua
We mama wee unaniua ua (we mama wee)
Unaniua ua
We mama wee unaniua ua (we mama wee)
Unaniua ua (haaha)
Hey (haaha)
Oh baby Unaniua ua (haaha)
Wewe unaniua ua (haaha)
Heiyeiye (haaha)
Unaniua ua (haaha)
Mh hey (haaha)
Unaniua ua
Your love your the one
You love the one
You love the one
Your love
Your love the one
Your love the one
Your love the one
Your love
Your love the one
Your love the one
Your love the one
Your love
Your love the one
Your love the one
Your love the one
Your love

No comments:

Post a Comment