Wednesday, November 29, 2017

Averina lyrics

Audio Player
00:00

00:00
Aaaah maskini moyo wangu uh unaniuma sana
Maskini nafsi yangu uh inahuzunika
Wewe ndio daktari wangu wa kutibu maradhi yangu
Nami ndani naumia
Wewe ndio daktari wangu wa kutibu maradhi yangu
Nia yao waharibu pendo nia yao wazamishe pendo
Nia yao waharibu pendo nia yao wazamishe pendo
wenye macho waliona jinsi tulivyopendeza
tena ndani ya penzi letu sumu wanasambaza
Averina (averina) mwambie Guso atulie
Averina (averina) mwambie Guso atulie
Averina (averina) mwambie Guso atuliw
Averina (averina) mwambie Guso atulie
Ingawa mimi bado ni wake sitaweza kukosea
Ingawa mimi bado ni wake sitaweza kukosea
Ingawa mimi bado ni wake sitaweza kukosea
Ingawa mimi bado ni wake sitaweza kukosea
Wewe wahuba wewe kidani changu
Wewe ni hazizi wangu wewe moyo wangu
Uh nia yao waharibu pendo nia yao wazamishe upendo
Shemeji Averina mwambie koso hali sina
mwengine sina uongo sina
Milupo inajileta habari sina nipo fiti na tayari nishapima
Maisha safi uje turide kwenye bima
Achane na maneno ya watu hawapendi penzi letu katu
Nitamganda kama smaku akitaka kumpanga ajibu aah
Nini anataka atulie machozi asitoke asilie
Habari za uzushi asisikie wazushi akiwaona akimbie
Ili maneno ya uzushi wasimwambie bado nampenda abaki namie
Averina (averina) mwambie uso watuli
Averina (averina) mwambie uso watulie
Averina (averina) mwambie uso watuli
Averina (averina) mwambie uso watulie
Ingawa mimi bado ni wake sitoweza kumkosea
Ingawa mimi bado ni wake sitoweza kumkosea
Ingawa mimi bado ni wake sitoweza kumkosea
Ingawa mimi bado ni wake sitoweza kumkosea
Tenten mwambie Skillz ahaaa hakuna kikubwa chini ya jua asante
Simbaaa hahahaha apa choma … avinadi

No comments:

Post a Comment