Friday, December 4, 2020

Una Mimi Mars na Young Lunya - Marioo

 (RoofTop Audio Station)

Na najiamini
Halali nje analala na mimi (ndani ndani)
Wengine wa nini (yeiye)
Anadata anavopewa na mimi (chumbani chumbani)

Una (una una)
Unanichanganya (una una)
Unavyonifanya (una una)
Unanichanganya sana
Tena ukinigusaga
Na kunipa zaga
Unanichanganya sana

Ukinigusa napagawa kote
Unanichanganya unavonipa vyote
Ukinigusa napagawa kote
Unanichanganya unavonipa vyote

Ukinigusa napagawa kote
Unanichanganya unavonipa vyote
Ukinigusa napagawa kote
Unanichanganya
Unanichanganya

Weka niweke (we)
Weka niweke (we)
Weka niweke (we)
Weka niweke (we)

Hata kama nitakosea usininunie beibe
Niambie
Maana si unajua mwanadamu
Na mie
Na unavyoninogesha
Ukija kuacha
Mwenzako nitajutia
Utanitoa roho (utanitoa roho)

Habari za mjini kwani nini (we)
Natoka na mimi kwani nini (we)
Mchezo mchezo na baby wa mimi (we)
Tulipotoka wanajua ni nini (we)
Sema ukweli nishampata nishamnasa
Alafu sasa na kwenye bedi mtamu haswa
Chuma mimi ila sumaku ishamnasa
Pelekeni ANGAZA huo wenu ushauri nasaha sa
Anavyozungusha hicho kiuno
Mimi ndo nazidisha mikuno
Wanapataka sasa unavyowapatia michuno
Kwani hawapati usingizi wakisikia miguno

Una unanichanganya (una una)
Unavyonifanya (una una)
Unanichanganya sana

Tena ukinigusaga
Na kunipa zaga
Unanichanganya sana

Ukinigusa napagawa kote
Unanichanganya unavonipa vyote
Ukinigusa napagawa kote
Unanichanganya unavonipa vyote

Ukinigusa napagawa kote
Unanichanganya unavyonipa vyote
Ukinigusa napagawa kote
Unanichanganya unanichanganya

Weka niweke (we)
Weka niweke (we)
Weka niweke (we)
Weka niweke (we)

Umenishika pabaya
Umenishika pabaya (ooh yeah beibe)
Umenishika pabaya
We bwana ni mbaya

Umenishika pabaya
Umenishika pabaya (aah ah)
Umenishika pabaya
We dada ni mbaya

Una una
Una una
Una una
Una una

No comments:

Post a Comment