Saturday, March 19, 2016

WIFE WA DUNIA LYRICS BY ALI KIBA

WIFE WA DUNIA LYRICS BY ALI KIBA

WIFE WA DUNIA LYRICS BY ALI KIBA
Language : Swahili              
Verse1
mwanzo nilikuona,
sijui nilikuona na nani eeh
Kwani najitahidi, niwe na wewe yah we
Kama ni ujanja ,
mwenyewe unajua me sina
(Wololox3) zile porojo zangu zinapopona si lazima
Yaani nikikuona  me aah ,
kichwa kinaniuma
Ata mwili wangu ooh
Aah yawe eeh ,
Verse2
macho yangu yametoa machozi sana,
lakini moyo wangu una furaha,
ya kukuona,wewe kila siku,
kila siku iendayo kwa mungu,
Ona machozi yatoka eeh,
bila ata kuyavuta
(Refrain)
(Nakupenda wewe ,
nakufikiria wewe
lini nitakuwa na wewe)x2
Mimi nakupenda wewe ,
wife wa dunia nakupenda
verse3
huku nagumana,
rumba napiga na nani moyo wangu
naona picha ata kama siwezi soma
navuta hisia aah nalia kwani inaniuma sana
moyo wangu unaumia kwani inaniuma sana
ooh me nakupenda sana ila wewe hujui kabisa
(na moyo (unangojax2) ,
lakini najua hautakuja
Na bado naamini ,
utakuja uwe nami kimaisha)x4

No comments:

Post a Comment